VIDEO: Takukuru watoa tahadhari Mkoani Dodoma
Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) Mkoa wa Dodoma, Sosthenes Kibwengo, amewatahadharisha wananchi na viongozi wa ngazi mbalimbali katika Mkoa wa Dodoma kuwa makini na vitendo vya utapeli vilivyoibuka vya kutumia jina la Mkuu huyu kutapeli watu
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE
Comments
Post a Comment