SHULE YA MSINGI CHIPOLE SONGEA INAWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMO
Uongozi wa Shule ya msingi Chipole unawatangazia nafasi za kujiunga na masomo kwa Darasa la awali, i, ii, iii, v na vi kwa mwaka 2020 / 2021.
Chipole Primary School ni shule ya bweni kwa wasichana na wavulana. inawalea watoto kimwili na kiroho, inafanya vizuri kitaaluma katika mitihani ya ndani, kata, wilaya, mkoa na kitaifa, Shule ipo Wilaya ya Songea kataya Magagura Mkoani Ruvuma.
Shule ina mandhari nzuri ya kuvutia na tulivu inayo muwezesha mwanafunzi kujifunza na kufanya vizuri katika taaluma shule ina walimu wa kutosha wenye sifa thabiti za kitaaluma katika masomo yote.
Standard four national assessment (sfna) -2019 results chipole primary school
-ps1603003 waliosajiliwa : 29. waliofanya mtihani: 29. wastani wa shule: 287.1379 kundi la shule: watahiniwa pungufu ya 40 nafasi ya shule kwenye kundi lake katika halmashauri / manispaa:
2 kati ya 18 nafasi ya shule kwenye kundi lake kimkoa: 2 kati ya 170 nafasi ya shule kwenye kundi lake kitaifa: 57 kati ya 3244
Tarehe ya usaili kwa wanaohamia itakuwa 13 / 11 / 2020 shuleni chipole, Tunapokea wanafunzi kutoka dini zote.
Tunapatikana kwa Simu no:0756-961896 / 0717-439469 / 0755-467263 / 0713859038
Comments
Post a Comment