CHUO CHA TUMAINI JIPYA IRINGA KINATANGAZA NAFASI ZA MASOMO
Mkuu wa chuo cha afya na sayansi chirikishi tumaini jipya kilichopo mafinga mjini mkoani iringa chenye usajili wa baraza la taifa elimu ya ufundi nacte no hs/ 144 anawatangazia nafasi za masomo kwa mwaka wa masaomo 2020/2021 kwa kozi zifuatazo
- Ordinary diploma in clinical medicine( clinical officer) miaka mitatu technician certificate in clinical medicine(clinical assisstance)miaka miwili.
Mwombaji awe ufaulu wa alama ( D ) kwa masomo ya fizikia chemia na biologia
- Ordinary diploma in clinical medicine upgrading ( mwaka moja) sifa awe amemaliza na kufaulu technician certificate in clinical medicine.
Pia chuo kina nafasi za kuhamia mwaka wa masomo 2020/2021, kwa wanafunzi wa mwaka wa pili na mwaka wa tatu
Maombi hufanyika chuoni kwa idhini ya nacte
kwa mawasiliano fika chuoni tumaini jipya au piga simu 0756916610 / 0764986544 / 0762251717
Chuo kina mazingiza tulivu na miundo mbinu nzuri kwa kwanafunzi kujifunzia, ada ni 1,700,000/= milioni ,moja na laki saba.
Comments
Post a Comment