KIWANJA KINAUZWA DODOMA
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA.
Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X 30 ).
Kiwanja ni kizuri sana watu wameshaanza kujenga na wengine washa hamia, Umeme na Maji vyote vipo.
kutoka njiapanda ya Nkuhungu ni KM 3 mpaka kwenye kiwanja..
Bei Million 3,500,000
Comments
Post a Comment