FC Bayern Munich yatwaa ubingwa wa German Super Cup
Club ya FC Bayern Munich ya Ujerumani imefanikiwa kutwaa Ubingwa wa German Super Cup dhidi ya Borussia Dortmund katika mchezo wa fainali uliochezwa bila uwepo wa mashabiki viwanjani.
Katika mchezo huo ambao ulikuwa na ushindani wa hali ya juu umemalizika kwa FC Bayern Munich kupata ushindi wa magoli 3-2, magoli ya Bayern yakofungwa na Joshua Kimmich na Thomas Muller.
Borussia Dortmund magoli yao mawili yalifungwa na Brandt na Haaland, ushindi huo sasa unamfanya Thomas Muller aandike rekodi ya kuwa mchezaji wa kijerumani mwenye mafanikio zaidi baada ta kutwaa taji lake la 27.
Comments
Post a Comment