Ufungaji wa mafunzo ya ndoa mkupuo wa sita wafanyika Zanzibar
Baadhi ya Washiriki wa Mafunzo ya Ndoa waliohudhuria katika hafla ya Ufungaji wa Mafunzo ya Ndoa Mkupuo wa Sita iliofanyika katika Ukumbi wa Masjid Zinjibar Kiembe Samaki Zanzibar.
Msomaji wa Kur-ani Afrika Mashariki Rajab Ayoub akisoma katika hafla ya Ufungaji wa Mafunzo ya Ndoa Mkupuo wa Sita iliofanyika katika Ukumbi wa Masjid Zinjibar Kiembe Samaki Zanzibar.
Waziri wa Katiba na Sheria Khamis Juma Maalim akimkabidhi Cheti cha Ushiriki wa Mafunzo ya Ndoa Mwanafunzi Aboud Iddi Mahmoud katika hafla ya Ufungaji wa Mafunzo ya Ndoa Mkupuo wa Sita iliofanyika katika Ukumbi wa Masjid Zinjibar Kiembe Samaki Zanzibar.
-Waziri wa Katiba na Sheria Khamis Juma Maalim akimkabidhi Cheti cha Ushiriki wa Mafunzo ya Ndoa Mwanafunzi Afia Ali Mohamed katika hafla ya Ufungaji wa Mafunzo ya Ndoa Mkupuo wa Sita iliofanyika katika Ukumbi wa Masjid Zinjibar Kiembe Samaki Zanzibar.
Comments
Post a Comment