Rais wa Afrika Kusini kuchunguzwa kuhusiana na mchango wa kampeini



Rais wa Afrika Kusini Cyril RamaphosaImage caption: Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa

Maafisa wa chama tawala nchini Afrika Kusini wamesema Rais Cyril Ramaphosa atafika mbele ya Tume ya Uadilifu kujibu maswali kuhusiana na mchago tata wa kampeini.

Lakini Jessie Duarte, mwanachama wa ngazi ya juu wa chama cha African National Congress, ANC, hakufafanua ikiwa Bwana Ramaphosa atajiwasilisha mwenyewe mbele ya kamati hiyo ya chama

Katika ripoti yake, mamalaka ya kupambana na ufisadi inadai kuwa Bw Ramaphosa alipotosha bunge kuhusumchango aliopokea mwaka 2017, ya thamani ya zaidi ya dola 35,955.



Comments

Popular posts from this blog

Mwenyekiti aishauri Serikali kuhalalisha uchangudoa ili kujipatia mapato