Sheikh Mkuu Dar awaasa wagombea kufanya kampeni za utu na heshima


Wanasiasa wameaswa kufanya kampeni za utu na heshima ili kuendelea kulinda amani iliyopo nchini.

Hayo yamezungumzwa na Sheikh Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Alhad Mussa Salim katika viwanja vya mnazi mmoja iliposwaliwa swala ya Eid.

Mbali na hilo Sheikh Alhad amesema dini ya uislam inafundisha amani, mshikamano na ushirikiano hivyo ni vema kupeana kushirikiana kwa ustawi wa amani na maendeleo nchini.

Comments

Popular posts from this blog

Mwenyekiti aishauri Serikali kuhalalisha uchangudoa ili kujipatia mapato