Zaka zakazi ataja sababu ya Azam kukosa ubingwa


Mkuu wa Idara ya Habari wa Azam FC, Thabit Zakaria 'Zakazakazi' amesema malengo ya klabu hiyo ni kushika nafasi ya pili katika msimamo wa ligi licha ya kupitwa na wapinzani wao Yanga SC ambao anaamini wamekaa katika nafasi yake.

Akifanya mahojiano maalumu  Zakazakazi amesema mipango yao ya msimu huu ni kumaliza nafasi ya pili kwakuwa Simba SC tayari imeshabeba ubingwa huku akiweka wazi sababu iliyopelekea wao kukosa ubingwa kuwa ni kutokana na kubadilishwa kwa makocha.

Azam FC itajitupa dimbani kesho majira ya Saa 1:00 Usiku katika mtanange wa Robo Fainali ya Kombe la shirikisho dhidi ya Simba SC.



Comments

Popular posts from this blog

Mwenyekiti aishauri Serikali kuhalalisha uchangudoa ili kujipatia mapato