Sugu ashindwa kujizuia amwaga chozi, akumbuka ya Gerezani,
Aliekuwa Mbunge wa Mbeya Mjini kupitia CHADEMA Joseph Mbilinyi ‘SUGU’ ameshindwa kujizuia baada ya kumkumbuka Mama yake Mzazi aliefariki kipindi yeye akiwa gerezani.
Sugu alijikutana anamwaga machozi wakati akisimulia maisha yake alipokuwa gerezani na kifo cha Mama yake ambapo yeye alifichwa taarifa za kuumwa kwake.
Comments
Post a Comment