Rais Magufuli akirudisha fomu ya kugombea Urais CCM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli, amerudisha fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mara ya Pili kupitia chama chake cha Mapinduzi (CCM), leo jijini Dodoma. Kushoto ni Katibu mkuu wa Chama cha mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ali akipokea fomu ya Mgombea wa urais.
Comments
Post a Comment