Singapore yathibitisha vifo 506 zaidi vya corona
Wizara ya afya ya Singapore imesema imethibitisha visa vengine zaidi ya 506 vya virusi vya corona na kufikisha idadi jumla ya maambukizi kuwa elfu 34,366.
Kulingana na taarifa ya wizara hiyo, wengi wa walioambukizwa ni wageni wanaoishi katika vyumba vidogo vya kupanga.
Huku hayo yakiarifiwa Urusi imerekodi vifo 181 vinavyotokana na virusi hivyo vya corona ndani ya saa 24 zilizopita ikiwa ni idadi ndogo ikilinganishwa na vifo 232 vilivyoripotiwa siku iliyopita.
Vifo nchini humo kwa sasa vimefikia 4,555. Hata hivyo maafisa wa afya wameripoti visa vipya zaidi ya elfu 8 vya maambukizi ya corona, na kwa sasa idadi jumla ya walioambukizwa virusi hivyo Urusi imefikia zaidi ya lakini 3 ikiwa ni taifa la tatu kuwa na idadi kubwa ya maambukizi baada ya Marekani na Brazil.

Comments
Post a Comment