Kikwete mgeni rasmi utiaji saini wa mabadiliko Yanga leo Mei 31
Rais Mstaafu wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete
leo Mei 31, 2020 anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa utiaji saini wa mchakato wa mabadiliko ya Uendeshaji wa timu ya Yanga.
Comments
Post a Comment