EU: Marekani inatukwamisha



umeihimiza Marekani kutafakari upya uamuzi wake wa kukata ushirikiano na Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa madai kwamba Shirika hilo halikushughulikia vizuri janga la corona. •

Katika taarifa iliyotolewa kwa pamoja na, Rais wa Halmashauri ya Umoja wa Ulaya Ursula Von der Leyen na Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja huo Josep Borell, wamesema wakati ambapo Ulimwengu unakabiliwa na kitisho cha janga la maambukizi ya virusi vya corona, Dunia inapaswa kuimarisha ushirikiano na kutafuta suluhuhisho kwa pamoja.

Viongozi hao wa Umoja wa Ulaya wamesisitiza kwamba vitendo vinavyodhoofisha na kukwamisha juhudi za Kimataifa za kutafuta matokeo mazuri vinapaswa kuepukwa na kila upande.

Comments

Popular posts from this blog

Mwenyekiti aishauri Serikali kuhalalisha uchangudoa ili kujipatia mapato