VIDEO: Aliyeimba wimbo wa corona aibua mazito


Kijana wa Jamii ya Kifugaji aitwaye Paul Siria mkazi wa Arusha ametunga Nyimbo Mbili maalum mmoja wapo ukieleza jinsi ya kujikinga na korona na wa pili kumuima Raisi Magufuli kuwaruhusu watanzania kumuabudu Mungu hata kipindi hiki cha Korona

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE



Comments

Popular posts from this blog

Mwenyekiti aishauri Serikali kuhalalisha uchangudoa ili kujipatia mapato