Ronaldo kumlipa mpenzi wake zaidi ya milioni 231 kwa mwezi kwaajili ya matumizi ya nyumbani

Licha ya kua bado hawajafunga ndoa rasmi, lakini Nyota wa Soka Duniani Christiano Ronaldo, anamuhudumia mpenzi wake na mama wa mtoto wake Georginagio ipasavyo.

Staa huyo amethibitisha kua anampatia mpenzi wake huyo zaidi ya shilingi Milion 273 kila mwezi ili afanyie matumizi madogo madogo ya Nyumbani.

Ronaldo ameliambia Jarida la Foreign Policy , pesa izo Ni kwaajili ya matumizi binafsi ya Mwanadada huyo , kununua mahitaji yake na gharama ndogo ndogo za kila siku .

"Ni Mwanamke Bora, na Mama mzuri wa wanangu, nampenda kuliko chochote" - Ronaldo ameliambia Jarida ilo

Comments

Popular posts from this blog

Mwenyekiti aishauri Serikali kuhalalisha uchangudoa ili kujipatia mapato