RC Kilimanjaro Anna Mghwira akutwa na maambukizi ya corona


Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Dkt Anna Mghwira ametangaza kukutwa na maambukizi ya virusi vya Corona baada ya kufanyiwa vipimo siku tatu zilizopita.

"Kazi yangu inahusiana na muingiliano wa watu ndipo nikaamua  kupima na majibu yamekuja na yameonyesha kuwa ninamaambukizi ya virusi vya corona mimi mwenyewe sionyeshi dalili za ugonjwa sijisikii homa, sikohoi wala sisikii dalili yoyote ila vipimo vimekuja hivyo kwahiyo hii inaonyesha watu wengi wanatembea wakijijua kuwa wapo salama kumbe hawapo salama" alisema RC Mghwira

Comments

Popular posts from this blog

Mwenyekiti aishauri Serikali kuhalalisha uchangudoa ili kujipatia mapato