Watu 3000 wamefariki kwa virusi vya corona Marekani

Corona bado ni pasua kichwa duniani na sasa taarifa za vifo kwenye Nchi ya Marekani pekee ni zaidi ya Watu 3000 wamefariki huku zaidi ya 1200 wakifia New York.

Idadi ya Wagonjwa kwa Marekani pekee ni zaidi ya laki moja na elfu sitini huku vifo vya corona dunia nzima vikizidi elfu thelathini na saba na Wagonjwa laki saba na elfu themanini na nne.

Comments

Popular posts from this blog

Mwenyekiti aishauri Serikali kuhalalisha uchangudoa ili kujipatia mapato