Meya Iringa akabidhi ofisi na gari
Aliyekuwa Meya wa Manispaa wa Iringa Alex Kimbe leo Machi 31 amekabidhi office pamoja na gari aliokuwa anatumia kwa Mkurugenzi wa Manispaa hiyo Himid Njovu.
“Baada ya kupata mukhtasari nikafikiria kwamba hata nikisema niendelee kubaki madarakani kitakachofanyika maana yake Mkurugenzi hata itisha vikao kwa hiyo nimeona ni busara kuwahurumia wananchii wa Iringa na nikabidhi ofisi ili niruhusu vikao vya halmashauri kufanyika" - Kimbe .
Comments
Post a Comment