Burundi imetangaza wagonjwa wawili wa kwanza wa corona

Burundi imetangaza wagonjwa wawili wa kwanza wa corona baada ya Nchi hiyo kutoripoti mgonjwa tangu kuanza kwa virusi hivyo, wagonjwa wote ni Wanaume Raia wa Burundi ambao wametokea Rwanda na Dubai

 “Tuna uchaguzi mkuu May 20,2020, hali ikizidi kuwa tete tunaweza kuusogeza mbele”

May 20 mwaka huu, Burundi itaingia kwenye uchaguzi mkuu wa Urais ambapo Rais Nkurunziza ambaye ameitawala Nchi hiyo kwa miaka 15 sasa tangu mwaka 2005, ameahidi kutogombea tena.

Comments

Popular posts from this blog

Mwenyekiti aishauri Serikali kuhalalisha uchangudoa ili kujipatia mapato