Breaking News: Tanzania yathibitisha kifo cha kwanza cha virusi vya Corona
Wizara ya afya kupitia waziri Ummy mwalimu ametangaza kifo cha kwanza cha mgonjwa wa corona Tanzania ambaye ni Mtanzania ambaye mbali na corona alikuwa anasumbuliwa na magonjwa mengine.
Endelea kutufuatilia tutakujuza zaidi
Comments
Post a Comment