VIDEO: Wahamiaji haramu Mkoani Kagera wakithiri ,asilimia 95 ni wakimbizi
Wilaya ya Misenyi Mkoani Kagera inakabiliwa na wimbi la wahamiaji haramu huku takribani asilimia 95 ya wakazi katika Kata ya Kakunyu wakithibitika sio raia wa Tanzania
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhandisi Hamad Masauni anatembelea wilayani hapo ikiwa ni mkakati wa serikali kukabiliana na tatizo hilo linalohatarisha hali ya ulinzi na usalama kwa raia halali Mia Tatu Kumi na Tisa (319) huku wasio raia wakitajwa kufikia Elfu Sita Mia Tatu Kumi na Moja(6,311) katika Kata ya Kakunyu
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE
Comments
Post a Comment