VIDEO: Taarifa za uzushi kuhusu hoteli ya rivertrees
Baada ya Kuzuka taarifa za Uongo kuhusu Virusi vya Korona kwenye Hotel ya River Tree Iliyoko Arumeru Muungwana Tv Tumefika katika Hoteli hiyo na kukanusha pia kwamba hakuna mtu yeyote ambaye anaumwa hivyo wamesikitishwa na aliyezusha taarifa hiyo
TAZAMA FULL HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE
Comments
Post a Comment