VIDEO: Simbachawene atoa maagizo haya kwa askari magereza
Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi George Simbachawene amelitaka Jeshi la Polisi hapa nchini kuacha kukamata ovyo watu na kusababisha kujaa kwa mahabusu katika Magereza mengi na kusababisha hasara kwani Magereza hayo hawazalishi chochote.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE
Comments
Post a Comment