VIDEO: Agizo la Rais Magufuli kuhusuhu magereza kujitosheleza kwa chakula lafanikiwa
Katika kutekeleza Agizo la Rais Dkt.John Magufuli la kutaka Jeshi la Magereza kujitegemea kwa chakula katika kulisha wafungwa,Gereza la Kilimo Kitengule lililopo wilayani Karagwe mkoani Kagera limefanikiwa kuvuna jumla ya gunia Elfu Tano Mia Saba Thelathini na Mbili ndani misimu minne ya mavuno kuanzia mwaka 2015 mpaka 2019
Hayo yamesemwa na Kaimu Mkuu wa Gereza hilo,Hadari Yuda
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE
Comments
Post a Comment