Sikuwahi kuwa na ndoto ya kutafuta mali na utajili- Dkt. Kigwangala
Waziri wa maliasili na utalii Mhe. Hamis Kigwangala amesema kuwa katika maisha yake hajawai kuwa na ndoto ya kutafuta mali na utajiri.
“Kabla ya Ubunge nilikuwa na kampuni yangu binafsi na sikuwahi kuajiriwa kabisa, pili ninamiliki chuo cha afya na mradi ukikamilika tutakuwa na hospitali hapo, tatu mimi ni mkulima, mfugaji, mfanyabiashara ya mazao na mmiliki wa viwanda, mabasi n.k” Kigwangalla
“Kwenye maisha yangu ndoto yangu haijawahi kuwa kutafuta mali/utajiri, maana kufikiri hivyo ni kufikiri kwa akili ndogo, mimi huwaza na kubuni namna ya kutatua changamoto kwenye maisha ya jamii yangu yote, Ubunge ni fursa ya kuijenga upya Nzega yetu,wala sio ajira” - KIGWANGALLA
“Kuna mtu badala ya kumuona Kigwangalla mfano kwake na kwa wanae, anamdharau bure tu, yeye hata ubalozi tu hajafika, hata Masters hana! anaona eti siyo deal kwa Mtoto huyu kupata wasaa wa kuzungumza na Mtu kama mimi”- KIGWANGALLA

Comments
Post a Comment