Ratiba ya leo michezo ya ligi kuu ya Vodacom
Leo jumamosi february 29 michezo ya ligi kuu ya vodacom inaendelea katika viwanja mbalimbali ambapo mbali na mechi zote mchezo unaosubiriwa kwa hamu ni kati ya Yanga na Alliance utakaochezwa katika uwanja wa Taifa saa 1:00 usiku.
Comments
Post a Comment