Ebitoke achukua fomu kushiriki miss Tanzania

Msanii wa vichekesho Ebitoke amechukua fomu ya kushiriki shindano la miss Tanzania kanda ya ziwa akiwa na ndoto ya kuvuka huko na kufika hatua ya kushinda na kuvaa taji la  miss Tanzania.

Kupitia ukrasa wake wa intagramu ameandika;

"Asanteni sana mashabiki wangu kwa support mnayoendelea kunipa. Napenda kuwajulisha rasmi tayari nimesha jaza form ya kushiriki miss Tanzania kanda ya ziwa 2020 nikiuwakilisha mkoa wangu wa kagera na nimeisubmit kwa wahusika. Ni imani yangu nitafika mbali, nahitaji support yenu !"




Comments

Popular posts from this blog

Mwenyekiti aishauri Serikali kuhalalisha uchangudoa ili kujipatia mapato