Breaking: CCM yampa adhabu ya karipio Kinana
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa CCM ikiongozwa na Mwenyekiti na Rais wa Tanzania Dkt Magufuli imempa adhabu ya karipio kali Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM, Abdulrahman Kinana na hatokuwa na haki ya kugombea nafasi yoyote katika chama kwa kipindi cha miezi isiyopungua 18 kuanzia leo.

Comments
Post a Comment