Waziri Mkuchika afanya uteuzi wa Makatibu tawala wa Wilaya
Waziri Wa Nchi, Ofisi Ya Rais, Menejimenti Ya Utumishi Wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Mkuchika amefanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa wilaya nane kwa kuwapandisha vyeo makatibu tarafa na kuwabadirishia vituo vya kazi makatibu tawala watatu.
Comments
Post a Comment