Waliofariki kwa virusi vya Corona nchini China wafikia 213
Idaadi ya watu waliofarki kufuatia wimbi la virusi vya Corona nchini China yaripotiwa kuongezeka na kufikia watu 213.
Wizara ya afya ya China imetangaza kwamba watu 213 wamefariki huku wengine 9692 tayari wameambukizwa virusi hivyo.
Miongoni mwa waathirika wa virusi hivyo1527 wapo katika hali maututi.
Comments
Post a Comment