SHULE YA MADANDI SECONDARY SCHOOL INAKUTANGAZIA NAFASI ZA MASOMO

Tunatangaza nafasi za kidato cha kwanza mwaka 2020  na nafasi za kuhamia kwa kidato cha II, III na IV, shule iko katika halmashauri ya mji Kasulu  mkoa wa kigoma.

Ada zetu kwa mwaka mzima pamoja na michango ni Tsh. 860,000/= zinalipwa kwa awamu NNE kila awamu 215,000/= tu.

Shule inaendeshwa kwa maadili ya kikiristo (Anglikana) na tunaheshimu imani zote pia.

Tuna mazingira mazuri ya kujifunzia, maabara pamoja na maktaba iliyosheheni vitabu vya kila namna.

Kwa maelezo zaido fika shuleni kwetu au piga Simu 0765 423595 au 0628 738040






Comments

Popular posts from this blog

Mwenyekiti aishauri Serikali kuhalalisha uchangudoa ili kujipatia mapato