Dirisha dogo la usajili Ulaya kufungwa leo

Leo ni siku ya hekaheka kwa wahezaji, mawakala na makocha. Ijumaa ya leo Januari 31 ni mwisho wa dirisha dogo la usajili la majira ya baridi.

Kufikia saa sita ya usiku kwa saa za Ulaya timu nyingi zinatarajiwa kufanya makubaliano ya mwisho na kuuziana wachezaji.

Usajili mkubwa mpaka sasa kwa mwezi huu nchini Uingereza umefanywa na Manchester United jana Alhamisi kwa kumnyakua kiungo Bruno Fernandes kutoka klabu ya Sporting Lisbon.

Kocha wa United Ole Gunnar Solskjaer aliahidi kuwa usajili huo ungekamilika kabla ya leo, na wametoa kitita cha pauni milioni 47. Hata hivyo dau hilo linaweza kuongezeka mpaka kufikia pauni milioni 67.

Mabingwa hao wa Serie A wamekuwa wakimnyatia mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 kwa wiki kadhaa sasa na wanaaminika kuwasilisha ombi la kutaka kumsaini siku ya Alhamisi

Robinson alijiunga na Latics kutoka Everton mnamo mwezi Julai 2019 kwa mkataba wa miaka mitatu baada ya kuonyesha mchez

Comments

Popular posts from this blog

Mwenyekiti aishauri Serikali kuhalalisha uchangudoa ili kujipatia mapato