China yaagiza 'mask' milioni 200 kutoka Uturuki

Kutokana na kuibuka kwa mlipuko wa aina mpya ya virusi vya Corona (2019-nVoC), uihitaji wa visetiri vya mdomo na pua“mask” umeongezeka.

Mamlaka nchini China zimefahamisha kwamba katika siku 10 za hivi karibuni wameagiza mask milioni 200 kutoka  mashirika ya kitabibu ya Uturuki.

Moja ya hatua muhimu ya kujikinga na virusi hivyo vya Korona ni kwa kutumia mask.

Pamoja na kwamba China ni moja ya wazalishaji wakubwa wa mask duniani kuibuka kwa mlipuko wa virusi vya Korona kumepelekea kushindwa kutosheleza mahitaji yake ya ndani. 



Comments

Popular posts from this blog

Mwenyekiti aishauri Serikali kuhalalisha uchangudoa ili kujipatia mapato