Watu 12 wakamatwa na Polisi Mbeya wakiwa na Bangi
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa 12 kutokana na tuhuma za kupatikana na dawa za kulevya (bhangi), pombe haramu ya moshi (gongo), mali za wizi na pombe kali zilizopigwa marufuku nchini.
Watuhumiwa wamekamatwa katika misako na doria zinazoendelea Mkoani Mbeya katika kipindi hiki cha kuelekea mwisho wa mwaka.
Watu hao walikamatwa mnamo Decemba 27, 2019 majira ya saa 15:00 Alasiri huko Kijiji cha Shigamba, Kata ya Utengule – Usongwe, Tarafa ya Usongwe, Wilaya ya Mbeya Vijijini, Mkoa wa Mbeya.
Mtuhumiwa GADI CHARLES akiwa na miche ya bhan |
Comments
Post a Comment