VIDEO: Serikali yaweka kipao mbele sekta ya utalii, miundo mbinu kuboreshwa
Katika kuimarisha sekta ya utalii Nchini serikali inaendeleza mpango wake wa kuboresha Miundombinu katika sekta hiyo ambapo ili kufanikisha suala hilo watanzania wametakiwa kutambua kuwa mchango wao ndiyo nguzo pekee katika kuchochea ukuaji wa utalii pamoja na kujijengea utamaduni wa kutembelea maeneo hayo kwakua ndio tegemeo katika kutangaza vivutio vilivyopo katika maeneo yao.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE
Comments
Post a Comment