VIDEO: RC MNYETI - ''sisi Mkoa wetu sio wa makelele kama mengine, tunafanya kazi
Ofisi ya mkuu wa Mkoa wa Manyara yanyakua Kikombe na Kitita cha shilingi Milioni Tatu baada kung’ara katika mashindano ya jumla ya Usafi na Mazingira na kuipiga chini Mikoa Mingine.
Akikabidhi zawadi hizo kutoka ofisi ya wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto,Katibu Tawala wa mkoa wa Manyara Missaile Mussa amesema mashindano hayo yalihusisha Mikoa Mitatu Ya Manyara,Arusha na Katavi.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE
Comments
Post a Comment