Picha: Wauaga mwaka kwa tukio la kuteleza juu ya barafu


Mchanganyiko huu wa picha unaonyesha mashabiki wakishiriki katika kuteleza juu ya barafu katika hafla ya Toronto ya 2019 katika uwanja wa Bentway Skate huko Toronto, Canada.

Mamia ya washiriki, walishiriki katika hafla hii ya kila mwaka inafanyika kuaga mwaka kwaheri kwa kuteleza juu ya barafu wakiwa wamejivalia mavasi yao ya kuoga Jumapili.



Comments

Popular posts from this blog

Mwenyekiti aishauri Serikali kuhalalisha uchangudoa ili kujipatia mapato