VIDEO: Wananchi wamkataa Mwenyekiti aliyeapishwa, watoa tuhuma nzito juu yake
Wananchi kijiji cha Ng'ombe kilichopo wilayani Misungwi mkoani Mwanza wametoa malalamiko yao kwa Mbunge wao Charles Kitwanga kuwa Mwenyekiti waliompigia kura na yule aliyeapishwa siyo yeye kwani huyo aliyeapishwa amekuwa akiwadhulumu wananchi ardhi na kutafuna fedha za miradi ya kijiji pia kutoa lugha chafu kwa wananchi
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE
Comments
Post a Comment