VIDEO: Tumesikia Zahera amekuja, Hatuwezi kwenda kwenye vyombo vya habari kumjibu - Bumbuli
Msemaji wa klabu ya soka ya Yanga, Hassan Bumbuli, amefunguka kuhusu ujio wa kocha wao wa zamani Mwinyi zahera ambaye alitangazwa kutimuliwa wiki chache zilizopita.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Comments
Post a Comment