VIDEO: Serikali yakanusha kuwafukuza wakimbizi wa Burundi
Serikali ya Tanzania imekanusha tuhuma zinazoelekezwa kwake kwamba imekua ikiwafukuza wakimbizi wa Burundi wanaoishi katika Makambi na Makazi mbalimbali mkoani Kigoma,Tabora na Katavi.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE
Comments
Post a Comment