Simba yathibitisha kuachana na Patrick Aussems

 Klabu ya Simba imethibitisha kuachana na kocha wao mkuu Patrick Aussems hii leo baada  ya bodi ya Simba kumwambia kuwa kwa sasa yeye sio kocha mkuu wa Simba.

Aussems alisimamishwa na Simba kutokana na kile kilichoelezwa kuwa ni kutokuwa na melewano mazuri na uongozi wa Simba.




Comments

Popular posts from this blog

Mwenyekiti aishauri Serikali kuhalalisha uchangudoa ili kujipatia mapato