Real Madrid yarejea kileleni La Liga

Real Madrid leo wamerejea kileleni mwa La Liga baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Deportivo Alaves Uwanja wa Mendizorroza mjini Vitoria-Gasteiz, mabao yake yakifungwa na Sergio Ramos dakika ya 52 na Dani Carvajal dakika ya 69.

Bao pekee la Alaves limefungwa na Lucas Perez kwa penalti dakika ya 65 na sasa Real inafikisha pointi 31 katika mchezo wa 14, ikiwazidi pointi tatu mabingwa watetezi, Barcelona ambao kesho watamenyana na Atletico Madrid.

Comments

Popular posts from this blog

Mwenyekiti aishauri Serikali kuhalalisha uchangudoa ili kujipatia mapato