Kocha wa Mbeya City ajiuzulu
Kocha wa Mbeya City Juma Mwambusi amejiuzulu kuifundisha timu hiyo kutokana na mwenendo usioridhisha msimu huu. Mwambusi aliwasilisha barua ya kujiuzulu Nov. 26, 2019 na leo bodi ya timu hiyo imeridhia ombi hilo. Kwa sasa timu imekabidhiwa kwa Kocha Msaidizi Mohamed Kijuso.
Comments
Post a Comment