David De Gea aweka wazi sababu ya Man United kufanya vibaya msimu huu

Golikipa wa klabu ya soka ya Manchester United, David De Gea, amefunguka kuhusu matatizo ambayo yanaikumba timu hiyo ya kupata matokeo mabovu.

Akiongea na Sky Sports News, inawezekana ni kutokana na ukosefu wa wachezaji wa kiwango cha juu.

"inawezekana matatizo ya sasa ya kikosi cha Man United yanasababishwa na ukosefu wa wachezaji wa kiwango cha juu," amesema De Gea.

Kwa sasa Man United inashika nafasi ya tisa kwenye msimamo wa ligi kuu Uingereza ikiwa na alama 17.



Comments

Popular posts from this blog

Mwenyekiti aishauri Serikali kuhalalisha uchangudoa ili kujipatia mapato