Breaking News: Simba yamtema Patrick Aussems
Kocha wa Simba, Patrick Aussems amesema kuwa bodi ya Simba imemwambia kuwa kwa sasa yeye sio kocha mkuu wa Simba.
Aussems alisimamishwa na Simba kutokana na kile kilichoelezwa kuwa ni kutokuwa na melewano mazuri na uongozi wa Simba.
“Bodi ya Wakurugenzi kupitia kwa Mtendaji Mkuu (CEO) imenitaarifu kuwa mimi siyo kocha Mkuu wa Simba” - Kauli ya Kocha wa Simba Patrick Aussems.

Comments
Post a Comment