VIDEO:Bashe awashushia rungu viongozi wa ushirika
Naibu Waziri wa kilimo Husain Bashe ameagiza viongozi wote wa vyama vya ushirika ambao sio wakulima kuondolewa kwenye nafasi zao, na kutaka viongozi wa vyama hivyo lazima wawe miongoni mwa wakulima, aeleza mipango ya Wizara yake walivyopanga kuimarisha vyama vya ushirika hapa nchini na kuhakikisha wakulima wananufaika na jasho lao.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAHU KU SUBSCRIBE
Comments
Post a Comment