Ratiba ya robo fainali Carabao Cup hii hapa
Droo ya robo fainali Carabao Cup tayari imefanyika leo Alhamisi Saa 5:45 Asubuhi kwa saa Afrika Mashariki baada ya michezo ya hapo jana.
Sasa ni rasmi kuwa Oxford itacheza na Man City, Man United watacheza na Colchester United, Aston Villa watavaana na Liverpool, huku Everton wakipepetana na Leicester.
- Oxford vs Man City.
- Man United vs Colchester United.
- Aston Villa vs Liverpool.
- Everton vs Leicester.
Comments
Post a Comment