Pakistani: Treni yawaka moto ikiwa safarini


Habari za hivi punde zinasema kuwa zaidi ya watu 60 wamepoteza maisha yao na wengine wengi kujeruhiwa vibaya baada ya treni ya abiria kuwaka moto.

Afisa wa dharura wa Uokoaji nchini Pakistani, Baqir Hussain amesema moto huo umetokana na mlipuko wa mtungi wa gesi ndani ya treni hiyo hivi leo.



Comments

Popular posts from this blog

Mwenyekiti aishauri Serikali kuhalalisha uchangudoa ili kujipatia mapato