VIDEO: Wahujumu uchumi 467 watubu kwa Rais Magufuli




Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP), Biswalo Mganga amesema ofisi yake imepokea barua za watuhumiwa 467 wanaoomba kukiri makosa ya uhujumu uchumi na wapo tayari kurudisha fedha jumla ya Sh107.8 bilioni.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USIKOSE KU SUBSCRIBE



Comments

Popular posts from this blog

Mwenyekiti aishauri Serikali kuhalalisha uchangudoa ili kujipatia mapato